Naamini wewe Ni mmoja ya Watu wetu ambao mmekuwa mkitufuatilia katika kazi zetu nyingi Sana,
Tumetoa Movie nyingi Sana, na mlizipenda Zote na mnazidi kuzipenda .. SASA swali Ni Je, Katika Hizo movie Zote, NI Movie Ipi uliyo ikubali zaidi kuliko Zote?
Tuandikie Hapo chini maoni Yako, na Sisi tutayasoma ili KUJUA zaidi na zaidi mapendeleo YENU.
Written by; Kelvin Khan
Penzi la mtoto wa boss n dada wa kazi
ReplyDeleteWrong house
DeleteWrong House is the Best one
ReplyDeleteMtoto wa boss
ReplyDelete