Followers

Siku ya kutoa Episode inayo fuata , na mpangilio mzima WA Episode zijazo huu hapa.

Je, Ulikuwa unajiuliza Episode ya 32 ya PENZI LA MTOTO WA BOSS NA DADA WA KAZI itatoka lini? Basi hapa tunakuwekea tarehe rasmi ya kutoka Kwa episode hiyo.

Ikiwa tayari episode ya 31 Ipo YouTube tayari, Watu WA natamani kuitazama  au KUJUA episode ya 32 inakuja tarehe ngapi. Taarifa kamili Ni kwamba ep 32 itakuja tarehe 31 mwezi October ambapo itakuwa majira ya mchana.

SASA Kama ilikuwa hujaitazama episode ya 31 TAZAMA hapa chini
LAKINI PIA WEWE KAMA SHABIKI YETU TUNAKUOMBA UTUACHIE MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU SWALI HILI HAPA.

JE UNATAMANI TUWE TUNATOA EPISODE MPYA BAADA YA MDA GANI???

weka comment Hapo chini👇


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Muwe mnatoa kila wiki mmekosa Sana Ata vipande 10 Co mbayaa

    ReplyDelete
  2. Mtoe after one day or 2days

    ReplyDelete
  3. Me Niko tayari kusubir mda wowote mtakao kuwa tayr man nafatiria mov zenu zote

    ReplyDelete